"Ubora katika Huduma, Uimara katika Ushirika."
Katika Adhimisho la Wiki ya Huduma kwa Wateja, Uongozi na Wafanyakazi wa Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC) tunakushukuru kwa ushirikiano wako thabiti unaoendelea kukuza na kuimarisha sekta ya ushirika nchini.
Tunakuthamini sana kwa kuwa nguzo muhimu katika safari yetu ya kuimarisha na kukuza ushirika nchini Tanzania. Uwepo wako ndio chachu ya mafanikio yetu!
Tupo tayari kukusikiliza, kukuhudumia na kukupa ushauri wa kitaalamu ili kufikia mafanikio ya pamoja.
Pamoja tujenge Uchumi.