Unatafuta bidhaa? Njoo tukufanyie matchmaking.
USHIRIKA TANZANIA UNAINGIA HORTILOGISTICA AFRICA 2026 KWA AJENDA YA BIASHARA
Si maonesho ya bidhaa pekee.
Ni nafasi ya kuonesha uwezo wa Ushirika Tanzania kuzalisha, kuongeza thamani, kusambaza, kuwekeza na kufanya biashara.
TFC inaendelea kuratibu wawakilishi kutoka:
TANECU • KCJE • TANCOOPS • ACU • IFCU • RIVACU • SUGECO • WAMACU • NCU • CCU • GCU • CORECU • MAMCU • TAMCU • MBIFACU • SONAMCU • KDCJE • KACU • TANICA pamoja na Vyama vingine kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Katika Banda la Ushirika, tutaleta pamoja:
📦 Bidhaa na sampuli
📋 Profiles za biashara
📊 Uwezo wa uzalishaji na supply
✅ Ubora, viwango na traceability
🌍 Fursa za masoko
⚙️ Teknolojia
💼 Uwekezaji na fedha
🤝 B2B na matchmaking
Na TFC haitakuwa kwenye banda pekee.
Tutashiriki pia katika majukwaa, mijadala, panels na side events zinazohusu biashara, masoko, logistics, standards, finance, technology na competitiveness ya cooperative enterprises.
Una soko? Tunaweza kukuunganisha na wazalishaji.
Una teknolojia? Tunaweza kukuunganisha na Chama chenye mahitaji.
Una uwekezaji? Kuna value chains zinazotafuta partners.
Unatafuta bidhaa? Njoo tukufanyie matchmaking.
📅 8–10 Novemba 2026
📍 TGT Grounds, Arusha
Bidhaa na Huduma za Ushirika katika Banda Moja.