KUMBUKUMBU YA MIAKA 27 TANGU KIFO CHA BABA WA TAIFA

By TFC Super Admin

Kipande kimoja cha kuni hakiwezi kuwasha moto mkubwa na kuleta uchanganufu; lakini vikuni vidogo vikikusanywa pamoja, vinatengeneza moto mkali. Ndivyo ulivyo ushirika."

KUMBUKUMBU YA MIAKA 27 TANGU KIFO CHA BABA WA TAIFA
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wote wa TFC, tunaungana na Watanzania wote kuadhimisha miaka 27 ya kifo cha Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Likes