SACCOS Zinapounganishwa na Uzalishaji, Fursa Mpya za Fedha Zinafunguka kwa Wanachama
Thamani ya ushirika itaonekana zaidi pale ambapo fedha, uzalishaji, masoko na ulinzi wa uwekezaji vinapounganishwa. TFC itaendelea kutumia nafasi yake ya uwakilishi na uratibu kusaidia vyama kuingia kwenye majadiliano hayo vikiwa na taarifa, mahitaji na miradi inayoweza kueleweka na wadau wa fedha.
TFC yatoa wito kwa vyama vya Ushirika Ruvuma Kujenga Uchumi wa Ushirika Unaoshindana
BIASHARA, UBUNIFU NA USHIRIKIANO NDIVYO VITAKAVYOONGOZA USHIRIKA WA KISASA
Nyasa, Ruvuma
Vyama vya ushirika vinapaswa kujizatiti na mbinu za kimkakati kwa ushindani wa karne...
Ushirika katika kuboresha mifumo kwenye Upatikanaji na Usambazaji wa Mbegu
Ushirika katika kuboresha mifumo kwenye Upatikanaji na Usambazaji wa Mbegu
Kupitia majadiliano yanayoendelea kati ya TFC na ASA, kusaini hati ya makubaliano ya kimkakati; nafasi y...
Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC), Limeendesha Mafunzo Maalum ya Kitaifa Yanayohusu Uongozi na Utawala Bora kwa Vyama Wanachama wa TFC.
Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC), taasisi mwamvuli katika kuvijengea uwezo vyama vya Ushirika, na katika kutekeleza mpango wa mafunzo wa mwaka 2026 uliotokana na mahitaji halisi ya wanaushirika, limeendesha mafunzo kitaifa ya Uongozi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika mjini Morogoro.
16 Days of Activism Against Gender-Based Violence commences in Serengeti, Tanzania
In Mugumu, Serengeti, we visited Mapindusu Secondary school, where girls from Hope for Girls and Women spoke about their experiences with GBV and Female Genital Mutilation (FGM). T...